Video:A 40 yr old teacher marries a student

0

 

Kweli Kenya imeharibika and morals gone to the dogs.Mwalimu mmoja wa shule ya msingi jijini mombasa ametiwa nguvuni na maafisa wa polisi kwa kushukiwa kuishi na mwanafunzi wake kama mume na mke msichana mwenye ana umri wa miaka kumi na mitatu . Msichana huyo aliyefanya mtihani wa darasa la nane mwaka jana amepatikana hii leo bada ya kupotea kwa siku kadhaa kutoka nyumbani kwao na kusema kuwa amekuwa akiishi na mwalimu wake katika majumba ya kulala mjini humo .

 

Comment on the article

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More

%d bloggers like this: