- Advertisement -

Video of the Day: Mtwapa Strippers Secure Jobs

0 50

MakahabaNi hivi majuzi tu ambapo wasichana tisa walikamatwana mjini Mombasa kushtakiwa kwa tuhuma za ukahaba. Wasichana hao waliachiliwa huru baada ya Seneta maalum kuwalipia dhamana. Na sasa wanafanya kazi ya urembo badala ya kuvua nguo hadharani kama ilivyokuwa hapo mbeleni. wasichana hao wamepata nafasi ya kufanya kazi ya ususi mjini Mombasa kupitia Seneta maalum Emma Mbura.

Loading...

Comment on the article

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: