The Big Debate-Andrew Mbugua or Audrey Mbugua:Suala la kujibadilisha jinsia lililoibuliwa na kisa cha kijana mmoja kwa jina Andrew Mbugua aliyetaka kuwa mwanamke badala ya mwanamume linaendelea kuzungumwa na watu wengi katika sehemu mbalimbali. Suala hilo ndilo linalotupambia makala ya leo ya Gumzo Mitaani.