Shocking Video:Drama as mourners attack a coffin in Nyanza

Katika tukio lengine la kustaajabisha, kundi moja la waombolezaji la eneo bunge la Rachuonyo, lilishambulia jeneza la shemeji yao na kuliharibu. Kundi hilo lilimlaumu shemeji kwa kifo cha mkewe. Na kama anavyoarifu Ouko Okusah mazishi ya mume na mkewe yalikumbwa na fujo huku baadhi ya waliofika wakiondoka na majeraha.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comment on the article

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.