Wow Video:From maize roasting to Matatu owner
Inakubalika kusema hoja si unachofanya, ila mtazamo wako kwa unchokifanya. Unapowanaona wachuuzi jijini Nairobi, kwa mfano, anayeuza mahindi ya kuchoma, au anayepangusa viatu, wewe huwafkiria kivipi. Si ajabu watu wengi huwaona ni watu duni, na watu ambayo maisha ya utajiri, yamewapa kisogo. Lakini kutana na Sylvester Kibe kutoka mtaa wa Umoja hapa jijini, jamaa ambaye ameuza mahindi ya kuchoma kwa miaka ishirini na miwili, bidii yake, imemuwezesha kununua basi ya aina ya manyanga kupitia kazi hiyo