Daylight Church Robbery caught on camera in Nairobi

Wengi husema wezi hawana heshima na wala hawana mipaka na huruma pia hawana na utakatifu haupo ,mwenye macho haambiwa tizama.,ni taarifa ya kipekee , majambazi kumi na watano waliojihami kwa bastola walivamia kanisa la lighthouse eneo la viwandani na kuibia waumini na wapita njia waliolazimishwa kuingia ndani ya kanisa na baadaye kuporwa na kuzabwa makofi.ni tukio lililonendelea kwa zaidi ya nusu saa hivi ,huku waumuni wakaiwa wametekwa mateka ndani ya kanisa.huyu hapa mwanahabari wetu purity mwambia na taarifa hiyo ya kipekee

 

 

 

 

 
 

 

 

 

 

Comment on the article

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More

%d bloggers like this: