Video: Prostitute Esther Mwende claims her life is in Danger

Mohamed Ali of Jicho Pevu follows the story of Tele Evangelist Michael Njoroge.
Esther Mwende, msichana aliyepasua mbarika na kufichua sakata ya utapeli ndani ya kanisa la Fire Gospel Ministries lililoko Embakasi sasa anadai kuwa maisha yake yamo hatarini.
Haya yanajiri baada ya NTV kupeperusha hewani taarifa ya kipekee kuhusiana na suala hilo la utapeli kwa jina la Mwenyezi Mungu. Mohamed Ali ana maelezo zaidi.
Mohamed Ali of Jicho Pevu follows the story of Tele Evangelist Michael Njoroge.
Esther Mwende, msichana aliyepasua mbarika na kufichua sakata ya utapeli ndani ya kanisa la Fire Gospel Ministries lililoko Embakasi sasa anadai kuwa maisha yake yamo hatarini. Haya yanajiri baada ya NTV kupeperusha hewani taarifa ya kipekee kuhusiana na suala hilo la utapeli kwa jina la Mwenyezi Mungu. Mohamed Ali ana maelezo zaidi.

Video: Prostitute Esther Mwende claims her life is in Danger