spot_img
Thursday, April 18, 2024
spot_img
spot_img

Hilarious Facebook Post-“Rudi America Baba”

Popular Facebook blogger, Cabu Gah now wants former Prime Minister Raila Odinga to go back to America after failing to fulfill his obligations.

The interesting post outlines all the failed promises Kenyans were expecting from him on Saba Saba. Hilarious.

- Advertisement -

Here’s the post

Just for Laughs….#Lakini_Baba si ulituambia utanyoa Ouru bila Maji ? Na mbona hukubeba Wembe ? Ama sharpener? Ama chupa amevunjika? Ama Hata kisu ya kumnyoa? Kwani ulikuwa umnyoe na kucha Baba??

#Lakini_Baba,si ulituambia Leo sisi atalala Uhuru Park? Lakini sasa tuko njiani tunaelekea Nyumbani? Kwani Uhuru Park iko Dandora? Halafu Baaba,Ulitaka kulala Uhuru Park na haukubeba Hata Blanket? Ama angalau Mattress Baba? Kwani ulikuwa unataka kulala kwa gari ya Polisi ??

#Lakini_Baba,si ulituambia Siku ya leo utatukomboa?? Umetukomboa kweli Baba? Kwa hivo kumaanisa bei ya mkate sasa ni silingi ishirini? Kumaanisa sasa bei ya maziwa amesuka mpaka silingi salasini Baba? Kumaanisa ile pesa alipewa Anglo-Leasing imesaarudiswa Baba??Na hii ukombozi yako si ni ya Kimuijiza Baba

#Lakini_Baba,si ulisema leo sisi ata-march mpaka state house baada ya Rally? Alaf just 20 minute later ukatuambia twende nyumbani? Kwani State House iko pande ya Dagoretti Baba? Ama Nyumba yangu kwisa kuwa State House??

#Lakini_Baba,Na si ulisema leo atakuwa Holiday? Na si kila mtu alienda kazini Baba? Wewe mwenyewe si ulienda kazi hata wewe Baba? Kazi ya Vitendawili? 

#Lakini_Baba,si watu yako wanakuita President?? Unaitwa President na Bado unaisi Karen Baba? Wanakuita President na Bado unataka kuongea na President Baba? Ai Yawa kwani Kenya ako na President wangapi??

#Lakini_Baba,si ulisema tusiende kazi Baba? Na hatukuenda. Sasa kesooo,tukifutwa kazi,wewe utataftia sisi Kazi ingine Baba? Wewe italisha watoto yetu kweli Baba? Kuongea Ukweli,si hapo Baba umenipotezea wakati na kazi pia Baba?

#Lakini_Baba si ulisema wewe atatoa sisi Misri utupeleke Caanan Baba?? Tuko Canaan tayari Baba? Uko sure? Mimi Niko kwa matatu ya Kawangware Baba…kwani hii Canaan amesaaletwa pande ya nyumbani?

Kuongea Ukweli #BABA Maneno yako nimeona ni Mdomo tu.

Sio kwa Ubaya lakini Wacha tu tumalizane Leo #BABA.

Nimechoka kupotesewa wakat.

Maneno yako mi apan taka.

Actually, RUDI America Baba.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -spot_img
- Advertisement -spot_img
- Advertisement -spot_img
- Advertisement -spot_img
- Advertisement -spot_img
- Advertisement -spot_img

Latest Articles